HOMEPAGE
Picture Gallery Send us feedback
* This website is allowed for people 18 years of age and above
Karibu/Welcome

Ali Kiba, Lady Jay Dee watamba tuzo za Kili

Wasanii Ali Kiba na Judith Wambura ambao kwa sasa wapo barani Ulaya kwa shughuli za kikazi, juzi usiku walitwaa tuzo za Kili Music jijini, Dar es Salaam.

Wimbo wa Cinderella ulimpatia tuzo chipukizi huyo baada ya kushinda katika kipengele cha Wimbo bora wa R\'n\'B, ambacho licha ya wimbo huo...

SOMA ZAIDI

 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Marlaw akikabidhiwa tuzo yake ya (mwimbaji bora wa kiume).  
   
News
 
Akudo, FM Academia zatupwa nje Kili Music Award  

Bendi mbili za muziki wa dansi zinazotamba hivi sasa, Akudo Impact na FM Academia zimetupwa nje ya kinyang'anyiro cha kuwania tuzo za kila mwaka za Kilimanjaro Music Award kutokana na kusheheni wanamuziki wasio Watanzania......

 
SOMA ZAIDI  
KATIKA PICHA
Picha kibao za ziara ya washindi wa Kili awards msimu uliopita katika mikoa ya Dodoma Shinyanga na Morogoro hizi hapa.
Soma zaidi
WINNERS TOUR
Tour of the Kili awards winners and their participation in Kili Winners Tour.
Soma zaidi
Contact us
Tanzania Music awards
Tanzania Breweries Ltd,
S.L.P. 9013
Dar es Salaam
Send us feedback