NI WAKATI MWINGINE UMEWADIA AMBAPO UNAWEZA KUCHAGUA MWANAMUZIKI WAKO BORA.
JINSI YA KUTUMA SMS: Andika neno KILI na namba ya kundi unalochagua (kama ilivyo orodheshwa hapo juu) ongeza nafasi, andika jina la msanii au bendi uliyochagua, kisha tuma SMS kupitia namba 15522, kwa mfano; KILI2(Nafasi) jina la msanii au bendi. Barua pepe: nominate@kilitimetz.com
NB: Jopo huru itahakikisha kura zote zimehesabiwa.