WINNERS
Picture Gallery Send us feedback
Washindi wa Kili Music Awards 2010

Sherehe za kuwatunuku washindi wa tuzo za KILI Tanzania Music Awards 2010 zilifanyika usiku wa siku ya ijumaa tarehe 14 May, ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee Hall kwa kutunuku tuzo hizo na burudani mbalimbali.

Yafuatayo ndiyo majina ya makundi/wasanii walioibuka kidedea usiku wa KILI Tanzania Music Awards 2010.

    KIPENGELE MSHINDI    
KIPENGELE
MSHINDI
  Mwimbaji Bora wa Kike
Mwimbaji Bora wa Kiume
Lady Jaydee
Banana Zoro
  Wimbo Bora wa Hip Hop
Wimbo Bora wa Reggae
Stimu zimelipiwa-Joe M
Leo (Reggae remix)-AY
               
  Albamu Bora ya Taarab
Wimbo Bora wa Taarab
Jahazi- Daktari wa Mapenzi
Jahazi- Daktari wa Mapenzi
  Wimbo Bora wa Ragga
Wimbo Bora wa R&B
Mungu yuko Bize-Misosi
Kamwambie-Diamond
             
  Albamu Bora ya Bendi
Wimbo Bora wa Kiswahili- B.
Mwana DSM- African Stars B.
Mwana DSM- African Stars B.
  Wimbo Bora wa Asili-Tanzania
Wimbo Bora wa Afro Pop
Nikipata Nauli-Mrisho M.
Pii Pii- Marlow
               
  Rappa Bora wa Mwaka
Wimbo Bora wa Mwaka
Kitokololo- African Stars B.
Kamwambie- Diamond
  Msanii Bora wa Hip-Hop
Msanii Bora anayechipuki
Chid Benzi
Diamond
             
  Mtunzi Bora wa Nyimbo
Mtayarishaji Bora wa Nyimb
Mzee Yusuf
Lamar (Producer wa Mwaka
  Wimbo Bora wa Kushirikiana
Wimbo Bora wa East Afrika
Nipigie- AT ft Stara T.
Haturudi Nyuma- Kidumu
             
  Video Bora ya Mwaka
Hall of Fame
Problems- C. Pwaa
Zahir Zorro
  Kituo Bora kilichotoa mchango mkubwa : CLOUDSFM