Kili promo 5m winner -Tanga  
This is the 5m winner of kili promo Mr. Charles Mbezi, works for Bombo Hospital as a Lab technician in Tanga; He said he will first buy a motorcycle as the daladala has become so expensive.
 

6TH DRAW WINNERS

     
SOUTH NAME REGION MOBILE  
1 M Issa haruna Dsm 0713 694744  
2 M Rumisha Marika Dsm 0713 499916  
5 M Dominic Msabila Moro 0753 590380  
Digital
Camera
Erick Mwangoka Dsm N/A  
Digital
Camera
Deborah Sijaona Dsm N/A  
         
NORTH WEST NAME REGION MOBILE
1 M Lucas Ogutu Mwanza 0734 807947  
2 M Ally Kigoda Tabora 0713 940330  
5 M Apollo Ndali Tabora 0755 378068  
Digital
Camera
Gugudi Chidi Geita 0755 842651  
Digital
Camera
Aisha Seifu Mwanza 0773 020007  
         
NORTH EAST NAME REGION MOBILE
1 M Arnold Mkomwa Tanga 0712 081006

2 M Claudian Ngowi Moshi 0754 599160

5 M Charles Mbei Tanga 0713 478322

Digital
Camera
Baltazari Bongowe Marangu 0787 593610

Digital
Camera
Joseph Makao Arusha 0754 076423

   
Mwanza Bar Promotion  
   
Singida Winner  
   
Korogwe Winner  
   
Mmoja kati ya 10 walioshinda Camera Leaders Club Washindi wa droo ya 5 wakiwa na Camera zao Leaders Club
   
Mdada ajishindia Digital Camera, Dsm Mdada ajishindia Digital Camera, Dsm
   
Rombo Mashat Winner Moshi Mjini Winner
   
Moshi Winners  
   
Arusha Winners  
   
Dar es Salaam Winners  
Washindi "Kili Time of Your Life" wapania biashara

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia Bia ya Kilimanjaro, Alhamisi iliyopita ilitangaza washindi wengine tisa wa droo ya tatu ya shindano la kuburudisha na kutajirisha la ‘Kili Time Of Your Life’.

Washindi hao wamepatikana kwa njia ya bahati nasibu na kujinyakulia mamilioni likisimamiwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha.

Shindano hili linawawezesha wanywaji wa Kili kuburudika na kujipatia fedha za kuwasaidia kuboresha maisha yao.

Mara baada ya Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Oscar Shelukindo, kuwatangaza washindi hao, waandishi wa habari walifanya mahojiano na baadhi yao kwa njia ya simu na kuelezea ndoto zao.

Kwa mfano, Andrea Simon wa Keko jijini Dar es Salaam anasema kwamba hakuna cha zaidi anachofikiria, kwani amejipanga kufanya biashara.

“Mimi ni muuza viatu, nina kaduka kangu (dula langu) hapa Keko, sasa baada ya kuwasikia wale watu wa Kilimanjaro wakinitangaza kuwa mshindi nimeona hapa ni mahala pazuri pa kutokea.

Mshindi huyo anasema kwamba alijisikia vizuri na kujawa na faraja baada ya kushinda, kwani ameona kuwa huu ni mwanzo wa kujikomboa kiuchumi.

Naye, Elizabeth Raymond wa Mwanza, ambaye pia amejishindia sh milioni tano, anasema: “Duh! Eeh, kaka. Hakika nilijsikia raha sana. Aaah, kaka yangu nina mambo mengi ya kufanya mara baada ya kupata fedha hizo.

“Kwanza naomba uelewe kwamba mimi ni mfanyabiashara ambaye nina grocery (duka la vinywaji) hapa Mwaloni, Mwanza. Halafu huwa nafuata vitenge Kondo (DRC) hivyo fedha hizo nitazitumia kutanua biashara zangu,” anasema.
Source:Tanzania Daima

FIRST DRAW 16TH APRIL 2008  
       
ITEM
NAME
REGION
MOBILE
BAR
         
SOUTH        
1 MILLION AMINA SAID MILINGA DSM 0787292206 DK-BAR
2 MILLION JOYCE E. MSILI DSM 0764004517 MANDELA BAR
5 MILLION EMMANUEL D. KILAE DSM 0753400673 MATUNDA BAR
1 ST DIGITAL CAMERA HILDA E. MPINGE DSM 0773880545 MSASANI CLUB
2 ND DIGITAL CAMERA DAINES SIMBO URASA DSM 0755227100 AFRI CENTER
NORTH WEST      
1 MILLION PETER NGILI MWANZA 0756017394 IF NOT BAR
2 MILLION MUGENDI KWALUGA MWANZA 0756845880 TWO WAYS
5 MILLION KIZITO ELIASI MWANZA 0732765243 HAI IN BAR
1 ST DIGITAL CAMERA SAMWEL D. MLUMBA MWANZA 0752758747 HIGH WAY BAR
2 ND DIGITAL CAMERA AMINA KENEDY MWANZA 0787700165 AR PUB
NORTH EAST      
1 MILLION SAIMON S. LYIMO ARUSHA 0755905664 SAKINA BAR
2 MILLION KILEO HARRY SAMUEL ARUSHA 0784711988 PICNIC
5 MILLION JAQUELINE M. MODEST MOSHI 0753180006 CASSANOVA
1 ST DIGITAL CAMERA DAVID HABATH KOMBE MOSHI 0755874449 NEW TRANSIT BAR
2 ND DIGITAL CAMERA REMI Y AMINA BILINYI MOSHI 0782340206 EUROPEAN BAR
         

IT'S KILI TIME OF YOUR LIFE!

Chiku Saleh
Gaming Board

Oscar Shelukindo
Brand Manager
Kilimanjaro Premium Lager