HABARI/NEWS

Kili Marathon 2011 yafana sana

Dkt. Nchimbi akipozi na washindi 10 bora wa mbio za wanawake pamoja na maofisa wa TBL.
Dada Doris wa TBL akimvika kilemba mshindi wa mwaka huu Kili Marathon kwa wanawake Anna Kamau toka Kenya.
Starting Point
Bosi wa Trans Afric Logistics Bw. Dewar Twist alikuja na mbwa wake Banny mwenye umri wa miaka 4 na kumaliza mbio hizo na wote wakapewa medali.